Wednesday, April 11, 2012

India Yaombwa Nafasi Zaidi za Masomo ya Juu.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Balozi Mdogo wa India Bwana D.S. Singal hapo Ofisini kwake Mbweni katika Jengo la Baraza la Wawakilishi Mbweni.

Balozi Mdogo wa India hapa Zanzibar Bwana D.S. Singal akipokea zawadi kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi baada ya kumaliza muda wake wa utumishi wa miaka miwili hapa Zanzibar.