Tuesday, April 10, 2012

Pinda Asaini Kitabu Cha Maombolezo ya Aliyekuwa Mwigizaji Mahiri Nchini,Marehemu Steven Kanumba

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa  mwigizaji  mahiri nchini, marehemu Steven  Kanumba, nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza jijini Dar es salaam kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.