Monday, January 16, 2012

MAMIA WAOMBOLEZA KIFO CHA MHESHIMIWA REGIA MTEMA

Dr. Wilbroad Slaa akiwa na baadhi ya waombolezaji.

Baba wa marehemu Regia;mzee Estalus Mtema (katikati) akiwa na Naibu Spika,Job Ndugai.

Mabere Marando (kushoto) akiwa na Mathias Chikawe.

Mheshimiwa Halima Mdee akiwa na waombolezaji wengine.

Mheshimiwa John Mnyika akiwa na waombolezaji wengine.