![]() |
| Rais Jakaya Kikwete akimpokea mgeni wake,Rais Mohamed Abdelaziz wa Jamhuri ya Saharawi; Ikulu ya Dar es Salaam, jana terehe 25 Juni, 2012. |
![]() |
| Rais JK akitoa hotuba fupi kwa mgeni wake. |
![]() |
| Hotuba nzuri mheshimiwa.. |
![]() |
| Rais Abdelaziz naye akitoa hotuba fupi kwa mwenyeji wake. |
![]() |
| Rais Kikwete na mgeni wake wakiangalia brass band ya Jeshi la Polisi. |
![]() |
| Picha ya ukumbusho. |
![]() |
| JK akimsindikiza mgeni wake. |
![]() |
| Rais Abdelaziz akiwaaga wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. |
![]() |
| JK akimuaga Rais Mohamed Abdelaziz. |








