Wednesday, January 25, 2012

BALOZI SEIF AAGANA NA MABALOZI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) akizungumza na mabalozi sita wapya walioteuliwa kuiwakilisha tanzania katika mataifa mbali mbali duniani.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wapya sita wlioteuliwa hivi karibuni.