Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa na Maspika wenzie kutoka nchi wananchama wa Jumuiya ya Madola wakifuatilia maelezo ya shughuli za uchimbaji mafuta na gesi asilia kutoka kwa mwenyekiti wa kampuni ya kuchimba mafuta ya nchi hiyo (hayupo pichani) mara baada ya kuitembelea kampuni hiyo kujionea shughuli zake. |