Msanii mpya wa bendi ya Msondo Ngoma, Shabani Lendi (kushoto) akipuliza saxaphone wakati wa onesho la bendi hiyo iliyofanyika Jumapili katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni. Wengine ni Hamisi Mnyupe, Romani Mng'ande na msemaji wa bendi hiyo Rajab Mhamila 'Super D'. |