Baadhi ya Wakuu wa Mikoa,Wilaya na Maafisa Tawala wa Zanzibar wakifuatilia Hotuba ya Ufunguzi wa Kikao cha Sensa ya Watu na Makazi iliyotolewa na Mwenyekiti mwenza wa Kamati ya Sensa Kitaifa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. Kikao hicho kilifanyika hapo katika ukumbi wa Jumba la Wananchi Forodhani Mjini Zanzibar. |