Kilimanjaro premium lager wanakuletea Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012, ni Jumamosi hii ya tarehe 14/04/2012. Tunzo mbalimbali kutolewa kwa wasanii mbalimbali pata kujionea live yule msanii uliyompigia kura kupanda kwa stage na kuchukua award, huku shangwe za kutosha, good music plus performs nzito kwa wasanii nguli. Ni Mlimani City Hall ndo mahala pa tukio, sh 75,000/= tu kwa VIP huku ukipata buffet dinner plus drinks bure; na sh 20,000/= kwa viti vya kawaida na bia moja ya bure. Tickets zinapatikana sehemu zifuatazo:
Ukumbi wa Mlimani city kuanzia jumatatu, Posta - Baraka Garden mtaa wa Azikiwe nyuma ya CRDB Bank. Zizzou Fashion ya Victoria, Sinza na Tegeta. Robbie One Fashion – Kinondoni Engine Petrol Station – Mbezi. Hebu ibuka ili umake the most of it. Kilimanjaro Premium Larger, bonge la kiburudisho kwa wa Tanzania!
|