Friday, April 13, 2012

Katibu Mkuu Kiongozi, Mh. Balozi Ombeni Sefue Kuhudhuria Vikao Vya Maafisa Waandamizi - London,UK

Mheshimiwa Balozi, Ombeni Sefue, akiweka saini kwenye kitabu cha wageni kwenye Ofisi za ubalozi wa Tanzania, London.

 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akifatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Bwana J.Haule wahudhuria vikao vya Maafisa waandamizi wa nchi za Jumuiya za Madola mjini London. Jana walipata nafasi ya kutembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania, Nchini Uingereza. Pichani, wakiwa pamoja na Balozi Peter Kallaghe, Naibu Balozi Chabaka Kilumanga.