Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba Bi. Flora Mgoa akiuaga mwili wa mwanae kwa mara ya mwisho kabla ya kuzikwa rasmi katika makaburi ya Kinondoni jana Jijini Dar es salaam. |
![]() |
Mwili wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Steven Kanumba ukiwa katika sanduku wakati ukiagwa kwenye viwanja vya Leaders' Club, Kinondoni, Dar es Salaam. |