Wednesday, April 11, 2012

Kutoka Bungeni Dodoma.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mbunge wa Newala na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Capt. Mstaafu George Mkuchika Katikati na mbunge wa Viti Maalum, Pindi Chana (kulia)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mbunge wa zamani wa Bariadi Magharibi,  Isaac Cheyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu na mbunge wa Ismani, William Lukuvi (kushoto) akizungumza na mbunge wa Kibakwe, Gerge Simbachawene (kulia), Naibu Spika na mbunge wa Kongwa, Job Ndugai (wa pili kulia) na mbunge wa Chilonwa, Hezekiah Chibulunje kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012.