Tuesday, April 10, 2012

Ndege Ya ATCL Yaanguka Kigoma



Abiria 35 na marubani  waliokuwa wakisafiri na Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) wamenusurika kufa baada ya Ndege waliokuwa wakisafiria kuanguka  katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma.