![]() |
Rais Kikwete akielekea kwenye jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Monduli. |
![]() |
Rais Kikwete akiwa na viongozi wenzie kwenye meza kuu. |
![]() |
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa shukrani kwa Mh. Rais Jakaya Kikwete kwa kuweza kuwakumbuka wananchi wa wilaya ya Monduli. |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigawa Ng'ombe kwa wananchi wa wilaya tatu za mkoa wa Arusha kama kifuta jasho cha kupoteza kiasi cha mifugo 800,000 kutokana na ukame na athari zake mwaka 2008/2009. |