Friday, August 3, 2012
RAIS KIKWETE ATOA KIFUTA JASHO CHA NG’OMBE KWA WANANCHI WA MONDULI.
![]() |
Rais Kikwete akielekea kwenye jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Monduli. |
![]() |
Rais Kikwete akiwa na viongozi wenzie kwenye meza kuu. |
![]() |
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa shukrani kwa Mh. Rais Jakaya Kikwete kwa kuweza kuwakumbuka wananchi wa wilaya ya Monduli. |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigawa Ng'ombe kwa wananchi wa wilaya tatu za mkoa wa Arusha kama kifuta jasho cha kupoteza kiasi cha mifugo 800,000 kutokana na ukame na athari zake mwaka 2008/2009. |
Tuesday, June 26, 2012
Yaliyojiri Kweye Ziara Ya Rais Mohamed Abdelaziz Wa Jamhuri Ya Saharawi
![]() |
Rais Jakaya Kikwete akimpokea mgeni wake,Rais Mohamed Abdelaziz wa Jamhuri ya Saharawi; Ikulu ya Dar es Salaam, jana terehe 25 Juni, 2012. |
![]() |
Rais JK akitoa hotuba fupi kwa mgeni wake. |
![]() |
Hotuba nzuri mheshimiwa.. |
![]() |
Rais Abdelaziz naye akitoa hotuba fupi kwa mwenyeji wake. |
![]() |
Rais Kikwete na mgeni wake wakiangalia brass band ya Jeshi la Polisi. |
![]() |
Picha ya ukumbusho. |
![]() |
JK akimsindikiza mgeni wake. |
![]() |
Rais Abdelaziz akiwaaga wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. |
![]() |
JK akimuaga Rais Mohamed Abdelaziz. |
Wednesday, April 18, 2012
Dkt. Gharib Bilal Afungua Kongamano La Dini La Waislam Na Wakristo Jijijni Dar Es Salaam Leo.
Matukio Ya Mchakato wa Uchaguzi Wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki Ulivyokuwa Bungeni Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisoma malezo ya awali kwa waheshimiwa wabunge namna ambavyo uchaguzi huo utakavyoendeshwa na taratibu zitakazofuatwa. |
Naibu waziri wa Ujenzi Mhe. Harison Mwakyembe akimuuliza swali mmoja wa wagombea wa Bunge la Afrika Mashariki. |
Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA) Mhe. Joshua Nassari akimuuliza swali mmoja wa wagombea wa Bunge la Afrika Mashariki. |
Matukio Mbalimbali Kutoka Zanzibar.
Subscribe to:
Posts (Atom)